Kufa Kuzikana

  1. home
  2. Books
  3. Kufa Kuzikana

Kufa Kuzikana

3.99 170 9
Share:

Basi liliteremka kwenye barabara iliyojisokota katika miinamo ya vilima. Nilichungulia dirishani na kuona jinsi jua lilivyovidhihirisha dhahiri...

Also Available in:

  • Amazon
  • Audible
  • Barnes & Noble
  • AbeBooks
  • Kobo

More Details

Basi liliteremka kwenye barabara iliyojisokota katika miinamo ya vilima. Nilichungulia dirishani na kuona jinsi jua lilivyovidhihirisha dhahiri shahiri vilima hivyo."Vilima gani hivi?" nilimwuliza abiria aliyeketi ubavuni pangu, mwanamume mfupi mnene. Kichwa chake kilikuwa kimeegemea bega langu. Hakujibu. Kumbe alikuwa anamenyana na usingizi. Nikamtikisa.

  • Format:Paperback
  • Pages:231 pages
  • Publication:2006
  • Publisher:Longhorn Publishers
  • Edition:
  • Language:swa
  • ISBN10:9966497544
  • ISBN13:9789966497543
  • kindle Asin:B0BS4FBQKN

About Author

Ken Walibora

Ken Walibora

4.10 2018 179
View All Books